Mimi ni kijana na macho yangu hayajahesabu nyota za ndilima mara ishirini na tano. Wa tumbo moja hupigana, wakionyeshana korongo. (Uk. 17) Ng'ombe anayebakia nyuma, ndiye anayepata kutandikwa zaidi na mchungaji. (Uk. 18) Popo alisema atainamisha kichwa cha ndege, akainamisha chake. (Uk. 18) Usichokoze siafu, bila kuwa na nyasi kavu. (Uk. 18)
Sauti za riwaya. No posts.